Kikosi cha Azam FC leo usiku kitacheza na KMKM kwenye uwanja wa Amaan katika kujipima nguvu kabla ya mchezo wa Ngao ya Hisani utakaopigwa wiki moja kabla ya kuanza kwa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2015/16.
Mechi hiyo itakayoanza saa moja usiku, itaoneshwa live kupitia Channel 100 ya Azam TV Ratiba kamili ya mechi za kirafiki huko Zanzibar ambazo zote zitaruka live kupitia info channel 100 ya Azam TV niLeo Jumatano tarehe 12/08/15 Azam FC vs KMKM kick off 7:00pm
0 maoni:
Chapisha Maoni