Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » MIONGONI MWA STATUS NZURI ZA WHATSAPP

MIONGONI MWA STATUS NZURI ZA WHATSAPP

 Image result for whatsapp
HIZI NI MIONGONI MWA STATUS ZA WHATSAPP; Hizi nimezitoa kwa miongoni mwa marafiki zangu na kuziandika hapa… Baadhi niliishia kucheka, pia kujifunza vitu vizuri.
  • Life is a teacher, the more we live , the more we learn.
  • Cool and Simple,
  • God shall fight for my battle
  • If you want to go fast go alone, if you want to go far, go together.
  • If you need sweet! Just say NO TO FGM
  • Thanks Lord
  • Usishangae uliyemsaidia akikutenga, uwepo wako karibu naye unamkumbusha dhiki zake
  • Ridhika na Kidogo ulichonacho, Usiwe kama siafu kung’ata kila unachokiona.
  • Mazoea wakati hujui naishije mjini sitaki bora pita hivi.
  • Tatizo nyota
  • You must run when they walk
  • Kwanini naota ndoto na sikuoti wewe..?
  • What Hurts you today make you stronger tomorrow.
  • End of thinking Capacity.
  • when i was BORN i was so surprised, I didn’t talk for a year & a half.
  • I just want to die young as late as possible.
  • Never laugh at your wife’s choices… you’re one of them …
  • Scratch here ▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒▒ to reveal my status 
  • Do You Want To Go Out With Me? (A) Yes (B) A (C) B.
  • Mpende dem wako kama kahawa, kuitumia kabla haijapoa.
  • Sipendi somo la hesabu ila napenda hesabu pesa
  • Tabasamu la uonga lawezaficha mamilioni ya machozi.
  • Urembo wa mwanamke si kitu ikiwa roho yake mbaya.
  • Unaweza chochote lakini si kila kitu.
  • Nawaharibu maadui pindi niwafanyapo marafiki wa karibu
  • Better HALF FULL than FULL EMPTY
  • No pain no Gain
  • Bora Diamond idada ya mademu inafahamika kuliko wewe kila siku, kila grocery DEMU mpya.
  • Our marriage is like a workshop. I work and my wife shops. 
Tuambie ipi imekugusa na nzuri zaidi…
Blog inayotoa habari kila siku Karibu Ungana na Mwandishi wetu kila siku hapa Jafar Nzowa

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. JAFAR NZOWA JR - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger