Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » ARSENAL WAMENYOOSHWA

ARSENAL WAMENYOOSHWA

 
Meneja mpya Slaven Bilic ameanza Ligi Kuu England kwa kuiongoza Timu yake West Ham kuitandika Arsenal 2-0 kwenye Dabi ya Jiji la London huko Emirates na kumfanya Meneja wa Arsenal Arsene Wenger kutoamini kilichomkuta na kubaki kushika kichwa,
West Ham, ambao walimchezesha Kijana wa Miaka 16 Reece Oxford, walifunga Bao lao la kwanza baada ya Kipa wa Arsenal Petr Cech kuitokea Frikiki na kuikosa na kumruhusu Cheikhou Kouyate kufunga kwa kichwa katika Dakika ya 43.
Nafasi pekee waliyokaribia Arsenal kufunga katika Kipindi cha Kwanza ni pale Aaron Ramsey alipopiga Posti.
Katika Dakika ya 57 Mauro Zarate aliipa West Ham Bao lao la pili baada ya makosa ya Oxlade-Chamberlain kumruhusu Zarate akiwa Mita 25 kuachia Shuti na kufunga.
VIKOSI:
Arsenal: Cech, Debuchy (Sánchez - 67'), Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin (Walcott - 58'), Cazorla, Ramsey, Ozil, Oxlade-Chamberlain, Giroud
Akiba: Gibbs, Gabriel, Arteta, Ospina, Walcott, Sanchez, Chambers. 
West Ham: Adrian, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Oxford (Nolan - 79'), Noble, Kouyate, Payet, Zarate (Jarvis - 63'), Sakho (Maiga - 90')
Akiba: Randolph, Nolan, Jarvis, Collins, Maiga, Poyet, Lanzini
REFA: Martin Atkinson

Newcastle 2 Southampton 2    
+++++++++++++++++++
MAGOLI:
Newcastle United 2
-Papiss Cisse Dakika ya 42
-Wijnaldum 48
Southampton 2
-Graziano Pelle Dakika ya 24
-Shane Long 79
+++++++++++++++++++
VIKOSI:
Newcastle: Tim Krul, Daryl Janmaat, Chancel Mbemba, Fabricio Coloccini, Massadio Haidara, Vurnon Anita, Jack Colback, Moussa Sissoko, Georginio Wijnaldum, Gabriel Obertan, Papiss Cisse
Akiba: Siem De Jong, Rolando Aarons, Ayoze Perez, Cheick Tiote, Karl Darlow, Steven Taylor, Aleksandar Mitrovic
Southampyon: Maarten Stekelenburg, Ricardo Cedric Soares, Jose Fonte, Maya Yoshida, Matt Targett, Steven Davis, Victor Wanyama, Dusan Tadic, Sadio Mane, Jay Rodriguez, Graziano Pelle
Akiba: Shane Long, Cuco Martina, James Ward-Prowse, Harrison Reed, Jimenez Juanmi, Paulo Gazzaniga, Steven Caulker
REFA: Craig Pawson
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
Jumamosi Agosti 8
Man United 1 Tottenham 0  
Bournemouth 0 Aston Villa 1
Everton 2 Watford 2             
Leicester 4 Sunderland 2      
Norwich 1 Crystal Palace 3   
Chelsea 2 Swansea City 2
Jumapili Agosti 9
Arsenal 0 West Ham 2          
Newcastle 2 Southampton 2            
1800 Stoke v Liverpool     
Jumatatu Agosti 10
2200 West Brom v Man City                  
Ijumaa Agosti 14
2245 Aston Villa v Man United     
Blog inayotoa habari kila siku Karibu Ungana na Mwandishi wetu kila siku hapa Jafar Nzowa

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. JAFAR NZOWA JR - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger