Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » SOMA BARUA YA EMINEM KWENDA KWA MAMA YAKE TUPAC

SOMA BARUA YA EMINEM KWENDA KWA MAMA YAKE TUPAC

Tupac shakur ni mmoja wa Hiphop icons ambao wanaheshimika zaidi kwenye historia ya Hiphop duniani, mbali na heshima pia ni mmoja ya wanahiphop waliohamasisha wasanii wengi kuingia kwenye Music, mmoja ya hao wasanii ni rapper kutoka Detroit,Marshall Mathers au Eminem.
Kuonesha hilo Eminem alichukua time ya kuandika na kumtumia Mama mzazi wa 2pac,Afeni Shakur barua ya kuappreciate mchango wa mtoto wake kwenye maisha yake ya music. Eminem ameandika “You have no idea how much your son and his music inspired, not only the ‘Hip Hop’ world, but speaking for myself, has inspired my whole career,” Eminem aliongeza “[2Pac] gave me the courage to stand up and say, ‘F*ck the world! This is who I am! And if you don’t like it, go f*ck yourself!’”
Isome barua yote ambayo imeandikwa kwa mkono wa Eminem Hapa chini
eminem-letter
Blog inayotoa habari kila siku Karibu Ungana na Mwandishi wetu kila siku hapa Jafar Nzowa

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. JAFAR NZOWA JR - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger