Danny
Ings (kushoto) akimlamba chenga kipa wa Adelaide United, Eugene
Galekovic (katikati) kabla ya kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Liverpool
leo Uwanja wa Adelaide Oval. Bao lingine la Liverpool lilifungwa
na James Milner na Liverpool sasa imeshinda zake zote tatu za kirafiki
kwenye ziara ya kujiandaa na msimu Mashariki ya Mbali na Australia hadi
sasa
0 maoni:
Chapisha Maoni