Dirisha la usajili wa majira ya joto lilifungwa mwanzoni mwa wiki hii barani Ulaya na kushuhudia baadhi ya wachezaji wenye majina makuwa wakihama kutoka klabu moja kwenda nyingine kwa kiasi tofauti cha ada ya uhamisho.
Kuna nyota wengine waliohamia katika klabu ambazo hakukuwa na matumaini makubwa ya kutua kwenye klabu hizo huku baadhi ya uhamisho ukikwama kabisa mpaka mwisho wa dirisha la usajili.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji kumi(10) ghali zaidi katika uhamisho wa majira ya joto mwaka huu:
Kevin De Bruyne (Wolfsburg kwenda Manchester City, Pauni Mil.54.5)
Raheem Sterling (Liverpool kwenda Manchester City, Pauni Mil.49)
Angel Di Maria (Manchester United kwenda PSG, Pauni Mil.44.3)
Anthony Martial (Monaco kwenda Manchester United, Pauni Mil.36)
Nicolas Otamendi (Valencia kwenda Manchester City, Pauni Mil.33)
Christian Benteke (Aston Villa kwenda Liverpool, Pauni Mil.32.5)
Roberto Firmino (Hoffenheim kwenda Liverpool, Pauni Mil.29)
0 maoni:
Chapisha Maoni