Ivan pamoja na jamaa yake King Lawrance wamekuwa wakisambaza taarifa kuwa mtoto wa Zari(Tiffah) sio mtoto wa Diamond Platnumz…Leo Zari mwenyewe ameamua kuwajibu.
Zari amesemakuwa “Visasi ni hufanywa na watu wenye akili za kitoto” akimaanisha kuwa Ex wake anafanya haya kwa sababu anataka kufanya kisasi…. ameandika katika account yake ya instagram “Revenge is for the petty. A BO$$LADY knows that the misery a hater Ooops i mean comfused admirer errr nope i really meant a fan in denial has to live with as they watch her happiness & success is enough punishment. Gotta give ma back to all that BS out there. #iStaySlaying coz people only dim a light that’s too bright for them.”
0 maoni:
Chapisha Maoni