Habari
nilizopta muda huu na zimethibitishwa. nikwamba mwenyekiti wa ccm mkoa
wa arusha Mh Onesmo Nangole na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa arusha
wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na
maendeleo CHADEMA.
BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO
0 maoni:
Chapisha Maoni