LOWASSA AHUDHULIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF, JIJINI DAR LEO
Sehemu ya Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa wamejipanga Barabarani tayari kwa kumlaki, Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alipokuwa
akielekea Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakifurahia Ugeni huo.
Sehemu
ya Viongozi wakuu wanaounda UKAWA, wakiongozwa na Mgombea Urais wa
Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi, Mh. James Mbatia,
Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi, wakimsuburia Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungua
Wanachama na Wafuasi wa Vyama UKAWA waliofurika kwenye Makao Makuu ya
CUF.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akikumbatiana
na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha
Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kabla ya kuelekea kwenye Makao
Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam
leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha
Wananchi CUF.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Urais
wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad na Wenyeviti wenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia na Dkt. Emmanuel
Makaidi wakitembelea kuelekea Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF,
Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano
wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Urais
wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad, wakiwapungia wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakati wakielekea
kwenye Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es
salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha Wananchi CUF. Wengine walioambatana nao ni Wenyeviti wenza wa UKAWA,
Mh. James Mbatia na Dkt. Emmanuel Makaidi.
Umati wa Watu ukiwapokea Viongozi wao.
Umati nje ya Makao Makuu ya CUF.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakati wakielekea kwenye Makao Makuu
Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9,
2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni
akiwasili kwenye Makao Mkuu ya CUF.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na
Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim
Seif Sharif Hamad akiwahutumbia maelfu ya wanachama na wafuasi wa Vyama
vinavyounda UKAWA, nje ya jengo la Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF,
Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kabla ya kufanyika
Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe
akiwahutumbia maelfu ya wanachama na wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA,
nje ya jengo la Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar
es salaam
leo August 9, 2015, kabla ya kufanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha
Wananchi CUF.
Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR - Mageuzi,Mh. James Mbatia akiwahutumbia maelfu ya
wanachama na wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA,
nje ya jengo la Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar
es salaam
leo August 9, 2015, kabla ya kufanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha
Wananchi CUF.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni
akiwahutumbia maelfu ya wanachama na wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA,
nje ya jengo la Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar
es salaam
leo August 9, 2015, kabla ya kufanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha
Wananchi CUF.
Mwanasheria
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Tundu Lissu
akiwahutumbia maelfu ya wanachama na wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA,
nje ya jengo la Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar
es salaam
leo August 9, 2015, kabla ya kufanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha
Wananchi CUF.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwahutumbia
maelfu ya wanachama na wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA,
nje ya jengo la Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar
es salaam
leo August 9, 2015, kabla ya kufanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha
Wananchi CUF.
Mwenyekiti
wa Chama cha NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi akimpongeza Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa mara baada ya kuhutubia.
Wakielekea kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim
Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Mh.
Magdalena Sakaya wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la Chama hicho,
uliofanyika August 9, 2015, kwenye Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF,
Buguruni jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
0 maoni:
Chapisha Maoni