Ukurasa
wa lebel ya Diamond Platnuz [Wcb Wasafi] umetufahamisha kuwa huyu binti
wa kuzungu ametoka nchini kwao Norway mpaka Tanzania kwasababu ya
kumuona Diamond Platnumz tu na bhatimaye walikutana.
” Hatimae yule Dada Wa Norway akapata nafasi ya kuonana na @diamondplatnumz..kwa
mujbu wake amesafiri Toka kwao kuja tu kumwona diamond ..inatia faraja
Sana kuona MTU tena kutoka taifa la mbali anakua na mapenz makubwa kiasi
hicho ”
” Tumekutana na huyu mrembo anadai. Kasafiri toka Norway kuja Tanga kumshuhudia @diamondplatnumz tu…Watu wna Mapenzi aisee ”
0 maoni:
Chapisha Maoni