Taarifa hizi zimesambaa baada ya kukamilisha mkutano wake na wanasheria, ambapo mwanasheria wake Stephen Savva, amedai kuwa hadi sasa hawajapata mpangaji wa nyumba ya mwanamuziki huyo ambayo aliinunua mwaka 2003.
Amedai kuwa wanafanya mpango wa kupangisha nusu ya nyumba hio yenye vyumba 21, majiko 9 na casino lakini mpaka sasa mwanamuziki huyo hajabahatika kupata mpangaji.
0 maoni:
Chapisha Maoni