WANGA AMWAGA WINO RASMI AZAM
Mshambulizi
wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars aliyekuwa anakipiga Al Merrikh
Allan Wanga amesign mkataba wa miaka miwili kuichezea Azam FC mchana
huu na kukamilisha idadi ya wachezaji saba wa kimatafa.
Azam fc wamethibitisha kupitia ukurasa wao rasmi wa facebook
Azam fc wamethibitisha kupitia ukurasa wao rasmi wa facebook
0 maoni:
Chapisha Maoni