Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » DIAMOND KUSAIDIA CHIPUKIZI

DIAMOND KUSAIDIA CHIPUKIZI

Diamond Pltnumz ni mmoja ya wasanii wa Tanzania ambao wana mafaniko ya kutosha, Diamond Platnumz kaamua kushare mafanikio yake kwa kufungua studio ya muziki na kurekodi nyimbo bure kabisa kwa wasanii chipukizi wasiokuwa na uwezo.


Kupitia kipindi cha Jump Off cha Timez fm Diamond Platnumz amesema “Wasafi Records’ sio nimelenga biashara itakuwa uongo,Lakini hiyo studio nilivyokuwa nimeiweka nimesema arekodiwe msanii yeyote mwenye kipaji, akiwa mtu ana kipaji kizuri ana nyimbo nzuri mrekodie mpe. Lakini pia iko na kibiashara kwa wasanii wengine sio msanii ameshatoka aje pale aimbe bure,kuna wasanii ambao watakuwa chini ya management yangu chini ya kampuni yangu mfano huyu anaitwa Hamonizer”.


Blog inayotoa habari kila siku Karibu Ungana na Mwandishi wetu kila siku hapa Jafar Nzowa

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. JAFAR NZOWA JR - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger