Kama wengi tunavyojua, penati ni nafasi nzuri sana ya
kufunga goli kwani wataalamu wa soka wanakwambia penati ni 90% ya goli
ila Mario anapingana nao anakwambia penati ni 100% yote yanawezekana
kuwa majibu sahihi.
Vilabu vingi vinapenda kuwapa majukumu wachezaji fulani
kupiga penati endapo itapatikana, vilabu vyetu sizani kama vina mfumo
huu, naamini Shaffih yupo katika utafiti juu ya hili. Leo hii
naomba tutazame vilabu 20 vya English Premier League na wachezaji
waliopewa majukumu ya kupiga penati endapo itatokea, kumbuka kwenye
mabano ni wachazeji husika..Arsenal
{Arteta, Cazorla, Giroud, Wilshere}
Aston Villa
{Sinclair, Bacuna}
Bournemouth
{Kermorgant, Wilson, Rantie}
Chelsea
{Hazard, Fabregas, Costa}
Crystal Palace
{Jedinak, Murray, Gayle, Chamakh, Puncheon}
Everton
{Lukaku, Baines, Mirallas}
Leicester
{Nugent, Ulloa, Kramaric}
Liverpool
{Henderson, Balotelli, Sturridge}
Man City
{Aguero, Toure, Bony, Kolarov}
Man Utd
{Mata, Rooney}
Newcastle Utd
{Cisse, Cabella, Riviere}
Norwich
{Hoolahan, Dorrans, Hooper, Grabban }
Southampton
{Tadic, Ward-Prowse, Davis, Long, Pelle}
Stoke City
{Adam, Walters, Arnautovic}
Sunderland
{Gomez, Johnson, Wickham}
Swansea City
{Shelvey, Gomis, Sigurdsson, Ki}
Tottenham
{Townsend, Kane, Soldado, Adebayor}
Watford
{Deeney, Vydra, Ighalo}
West Brom
{ Berahino, Morrison, Gardner, Sessegnon}
West Ham
{Noble, Nolan}
0 maoni:
Chapisha Maoni