Diamond na mama yake
Hemed na mama yake
Linah akiwa na baba na mama yake
Lulu na mama yake
Wema na mama yake
Monalisa na mama yake
Shilole na mama yake
Jokate na mama yake
Hemed na mama yake
Linah akiwa na baba na mama yake
Lulu na mama yake
Wema na mama yake
Monalisa na mama yake
Shilole na mama yake
Jokate na mama yake
Naamini
kila mtu anawapenda wazazi wake, kwa sababu ndio wametuleta duniani na
pengine wamechangia mafanikio yetu. Leo Bongoclan tumeamua kukusanyia
picha za baadhi ya wasanii wa hapa kwetu Bongo wakiwa na wazazi wao.
Picha hizi ni za wasanii saba tofauti wengine wakiwa wa muziki na wengine wamaigizo, tulichogundua ni kua wengi wa wasanii hawa hawajapiga picha na baba zao, ni mmoja tu kati ya nane ndo kapiga picha na Baba yake. Unaweza tazama picha hizi hapa chini.

0 maoni:
Chapisha Maoni