anga ambayo inatarajiwa kushuka dimabni kesho kukipiga na Gor mahia katika michuano ya Kagame kocha huyo ameonekena kujiamini zaidi na kwenda mabali kufikia hatua ya kusema timu yake ni moja ya timu bora.
Plujim amesema kuwa kutokana na uzoefu wake waku fundisha soka kwa miaka mingi nchi za afrika amewasoma Gor mahia vizuri na tayari amewandaa wachezaji wake katika hali ya kushinda na si kukubali kushinda.
“Gor mahia ni timu nzuri na hakuna timu ndogo katika michuano hii ya ya kagame hivyo tunachukulia kila mechi ni fainali,”amesema Plujim
Nutall amesema kuwa Yanga ni timu bora lakini aijalishi kwani watatumia makosa madogo madogo ili kuwathibiti wapinzani wao.
0 maoni:
Chapisha Maoni