Benteke mwenye Umri wa miaka 24 amesajiliwa na Liverpool Kwa dau la £32.5m.
Katika misimu mitatu iliyopita Benteke kafunga magoli 42 katika mechi 88 kwenye ligi juu Ya Uingereza. Pia amefunga magoli 7 katika mechi 24 za timu Ya taifa Ya Ubelgiji.
“Nina furaha kubwa Kuwa hapa na ningependa kuwashukuru wamiliki wa Klabu pamoja na kocha Kwa juhudi zao za kuni leta hapa,” alisema Benteke
0 maoni:
Chapisha Maoni