Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka amefariki dunia kwa ajali.
Inaelezwa kuwa Gari lake limepinduka lilipokuwa linashuka Makonde Plateu kuelekea Ndanda
Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa, Ndanda Regional Referral hospitali.

Chanzo-Jamii Forums
0 maoni:
Chapisha Maoni