Wanachama
wa Chadema wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe wakiandamana kupinga
maamuzi ya chama hicho kukata jina la mshindi wa kura za maoni
na kumteua aliyeshindwa ,mbali ya kuandamana pia wanachama hao
zaidi ya 500 walikihama chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo
Wanachama wa Chadema waliohamia ACT wazalendo wakiwa na mabango ya kukituhumu chama hicho kwa kukiuka Demokrasia
Kadi zikiwa zimekusanywa kwa kuchomwa moto
Hivi
ndivyo kadi zinavyoteketezwa kwa moto baada ya wana Chadema
kujiengua na chama hicho na kujiunga na ACT wazalendo
Hasira za kukatwa kwa mshindi wa kura za maoni Ludewa
wanachadema wakiwa na mabango
wanachadema wakijiandaa kwa maaandamano ya amani kujiengua na Chadema na kujiunga ACT wazalendo
Mwanzo wa maandamano ya kujiengua na Chadema
Bango likimtaka aliyeteuliwa na chama kwenda kugombea jimbo la Hai kwa Mbowe |
Tuhuma dhidi ya Chadema Taifa |
Wanachadema katika maandamano ya kupinga mshindi kutemwa |
Wanachadema waliojiengua na kujiunga na ACT wazalendo wakiwa nje ya ofisi ya Chadema wilaya ya Ludewa
barua ya tuhuma za mteuliwa kutoa ahadi ya rushwa hii hapa
barua ikionyeshwa kwa wanahabari na wanachadema
Wanachadema wakiwa nje ya ofisi ya chama wilaya walikokwenda kurudisha kadi kabla ya kuhamia ACT wazalendo
Aliyekuwa mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ludewa akionyesha kadi ya ACT wazalendo
Aliyeenguliwa Bw Haule akiwapongeza wana Chadema kwa kuhamia pamoja ACT wazalendo
Wanachadema wakirudisha kadi za chamna hicho na kujiunga na ACT wazalendo
Baadhi ya nguo na kadi zikiandaliwa kuchomwa moto
katibu wa ACT wazalendo Ludewa Alfred Ulaya akionyesha kadi za Chadema
Wanachadema wakijipata kuhamia ACT wazalendo
Mabango ya kuagana na Chadema kwa wana Ludewa
Bango likionyesha Chadema kura za Chadema Urais X ,Ubunge X na udiwani X huku likimaliza kwa kusema msituchagulie
Mwanachama wa Chadema akiongea kwa jazba juu ya hali ya mambo ndani ya Chadema kabla ya kujiunga na ACT wazalendo
Ofisi ya Chadema wilaya ikiwa imefungwa wakati wanachadema walipofika kurudisha kadi zao |
Kadi ya ACT baada ya kuhama Chadema
Makada wapya wa ACT kutoka Chadema
Aliyekuwa mshindi wa kura za maoni akionyesha barua nyenye siri nzito za mteuliwa kununua nafasi hiyo
Bw Haule akijiandaa kuchoma moto vifaa vyake vya Chadema kabla ya kujiunga na ACT wazalendo
......
0 maoni:
Chapisha Maoni