Baada ya kuondoka na tuzo moja kama ‘Best live act’ kupitia tuzo za MTVMAMA2015, Bongo flava Icon kwa sasa Diamond Plutnums anatarajiwa kudondoka jijini Nairobi weekend ijayo kwenye bonge moja la tamasha kwa ajili ya kushukuru mashabiki kwa sapoti waliyotoa kwa MTV.
After party hiyo iliyoandaliwa na kituo cha Televisheni cha MTV base, itawahusisha pia wakali kama Rabbit, Kansoul, Mejjagenge, Madtraxx na Kidkora.
0 maoni:
Chapisha Maoni