
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Wilbroad Slaa akiwa na mke wake Josephine Mushumbusi
Akijitetea amenukuliwa akisema kuwa “Mwenyewe najiuliza nini kinaendelea, siwezi kufanya kitu kama hicho. Nyumba yangu ina milango miwili, nawezaje kumfungia mtu, tena mwanamume, hata watoto siwezi kuwafungia,”.
Amedai kuwa kuna mambo mengine mwanamke huwezi kuyafanya kwa mwanamume na kuongeza kuwa mwanaume ni mwanaume tu.
0 maoni:
Chapisha Maoni