Majaji hao Peter Walden, Elaine Roecklein, Tee Thompson, Bertini Huemegni,Tina Semiti Magembe, Mayor Mlima, Uche Ibezzue wakiongozwa na Michael Lewis McBride kwa pamoja walikataa kukubaliana na mshindi aliyetangazwa na kufanya kikao nje ya ukumbi wakati watu wakiondoka ondoka nao wakisikitishwa na maamuzi ya kutangazwa mshindi .

Miss Africa 2014-15 akipata picha ya pamoja na Doreen Panga baada
ya kuvikwa taji la Miss Tanzania USA
ya kuvikwa taji la Miss Tanzania USA
majaji.Jaji Dr. Secelela Malecela japo kwamba alipingana na Doreen Panga kutangazwa mshindi lakini hakukubaliana na majaji wenzake Doreen avuliwe taji na apewe Aeesha Kamara aliyekua chagua la majaji wengine, yeye alipendekeza kwa kua kosa lishafanyika waachane nalo wahakikishe mwakanihalitokei tena, Wazo lake lilipingwa na majaji wenzake pale pale.
Shindano hilo lilianza vizuri kwa nyimbo za Taifa za Marekani na Tanzania zilizoongozwa na watoto Brian akiwa kwenye kinanda na dada yake Briana akiwa kwenye kipza sauti, Baadae walitambulishwa ma miss wa kesho watoto wa DMV wenye umri wa miaka 9 na 12 na baada ya hapo waliingia malikia wenyewe huku wakisindikizwa na wimbo wa Diamond wa mdogo mdogo na
baadae kujitambulisha kwa majaji.

Miss Africa 2014-15 akipata picha ya
pamoja na Aeesha Kamara baada kuvikwa taji na maamuzi ya majaji ambao
hawakukubaliana na mshindi aliyetangazwa kwanza.
pamoja na Aeesha Kamara baada kuvikwa taji na maamuzi ya majaji ambao
hawakukubaliana na mshindi aliyetangazwa kwanza.
na Brenda Panga toka New York. Washiriki walianza shindano kwa kujielezea wakifuatia na shindano la vipaji na baadae kujibu maswali ya majaji.
Sasa Miss Tanzania USA ni Aeesha Kamara.

0 maoni:
Chapisha Maoni